Alhamisi, 12 Aprili 2012

MATUKIO KATIKA PICHA IBADA YA PASAKA

Ibada ya Pasaka ilitanguliwa na semina ya Pasaka ambayo ilifundishwa na Mch Salaka kutoka Basihaya. na siku yenyewe ya sikukuu alikuja na praise team yake ambao waliongoza vizuri sana ibada ya kusifu na kuabudu. katika ibada hiyo vile vile kulikuwa na uwekwaji wakfu wa cd ya mwimbaji binafsi mwal Magreth maziku.
Praise Team toka Basihaya
Dogo mpiga dram wa Basihaya TAG
Mpiga keyboad na waimbaji wa sauti ya 3
Wanaumeeeeeeeeeeee
Joeli Sasali akipiga bass gitana kukumbusha enzi zake akiwa Magomeni.
Mchungaji salaka akiongea jambo kabla ya uwekwaji wakfu wa cd
Cd ikiwekwa wakfu
Wachezaji wa mwimbaji Mage wakiwa kazini
Mwimbaji Mage akiimba
Mama Mch Kanemba akimfuta machozi baada ya kuimba wimbo wenye hisia
Mch msaidizi wa Basihaya akiongoza sifa

Washirika wakiselebuka
Mpiga solo Kutoka Basihaya
Watu walishindwa kusimama baada ya uwepo kushuka
Mama Mch Salaka
Mama Mch Salaka na Kanemba ambao ni mtu na mama yake.
Bloger akiwa na Uche wa Basihaya na ambaye ni mwl wa praise team hiyo
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FACEBOOK martmalecela
Chapisha Maoni