Jumatatu, 12 Desemba 2011

Mungu Yu mwema anatenda mambo makuu.

Familia ya Makaranga wakimshukuru Mungu kwa kupata mtoto wa kike jina Marry.

Baada ya maombi ya mfungo Mungu ameanza kutenda miujiza katika picha baadhi wa washirika wakimshukuru Mungu, Kushoto ni familia ya mzee A. Kisiva wakimshukuru Mungu kwa kumfungua mtoto wao aliyekuwa na tatizo la kutokula. Katikati ni eve, mtume na nabii Ayubu akimshukuru mungu kwa uponyaji n amwisho dada Grace akimshukuru Mungu kunusuru katika ajari ya gari.
Mathayo 6:33 Utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa.
Chapisha Maoni