Jumatatu, 5 Desemba 2011

Miaka 50 ya Uhuru, Tanzania kwa Yesuikiwa zmebaki siku chache kuelekea kwenye kilele cha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. kuna mengi ya kutafakari na kuchukua hatua, kanisa la TAG Magomeni limeandaa maombi maalumu katika wiki hii unaweza kujumuika pamoja nao popote ulipo, maombi ambayo yataombewa wiki hii ni pamoja na Mungu kuibariki Tanzania kuepusha majanga na machafuko, kuombea viongozi wa Tanzania ili wawe na hofu ya Mungu, Kuombea mchakato mzima wa uandaaji wa katiba mpya, na mambo mbali mbali yanayohusu Taifa letu la Tanzania nichukue fursa hii kuwatakiaa sikukuu njema na mafanikio katika kila mnacho kifanya.Martin
Mathayo 6:33 Utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa.
Chapisha Maoni