Jumatano, 30 Novemba 2011

DEO DOXA CHOIR



Kwaya ya Deo Doxa wametoa wimbo wa miaka 50 ya uhuru wakimshirikisha John Shabani big up tusonge mbele pata vionjo ya wimbo huo.
Mathayo 6:33 Utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa.

Maoni 1 :

stella silomba alisema ...

Martin Mungu akubariki sana kwa kuweka huu wimbo najisikia niko naimba nao,God bless u so much keep doing it and God will bless because it touching my heart, I miss home and I miss u guys so badly God bless u.