Alhamisi, 10 Novemba 2011

UNA MTOTO MWENYE KIPAJI? SOMA HAPO CHINI.


TCT ni huduma inayolea na kukuza vipawa vya watoto. huduma hii inaongozwa na Mwl Prosper willbroad ambaye yeye ni mwl mzoefu katika mafundisho ya watoto na familia na unaweza kupata mafundisho mazuri kwa mtotowako au ushauri kwa mtoto wako. huduma hii inaendelea kukuwa kwa kasi kutokana na nyakati tulizonazo maadili ya watoto wengi yameporomoka kutoka na mazingila ya utandawazi, hivyo huduma hii ni ya kuwajenga watoto katika mafundisho mazuri na kukuza na kuendeleza vipaji walivyozaliwa navyo. hivyo kama una mtoto au una mfahamu mtoto mwenye kipaji basi waone TCT watakusaidia kukuza kipaji cha mwanao. na kila mwaka wanakuwa ma matukioa na ushindanishaji wa watoto wenye vipaji ili kuwakuza katika vipaji vyao.
Mwl Prosper Willbroad mwenye wito wa kujenga watoto katika tabia njema ili kuleta Taifa lililo bora hapo baadae


“MLEE MTOTO KATIKA NJIA IMPASAYO NAYE HATAIACHA HATA ATAKAPOKUWA MZEE” Mithali 22:6

TANZANIA CHRISTIAN TALENTS (TCT)
S. L. P 62443 Dar es Salaam.+255(0) 767/715 350735, 688/715/754 366523
Email,tanzania.christiantalents@gmail.com. Location Mwenge sokoni (opp.)
                                                     AU
unaweza tembelea website yao http://christiantalentstz.com/ au kwenye facebook TANZANIA CHRISTIAN TALENTS (TCT)
Chapisha Maoni