Jumamosi, 19 Novemba 2011

MATUKIO KATIKA PICHA IBADA YA ROHO MT

Jumapili ilikuwa ya kipekee baada ya nguvu za Mungu kutawala katika ibada na kusababisha ratiba nyingine kuvurugika ikiwa ni kuhubiri neno la Mungu. Ibada hivyo ambayo ilipambwa na kwaya za Revival choir Magomeni na Revival Singers kutoka TAG Basihaya. nguvu za roho mtakatifu zilianza kuonekana mapema baada ya kipindi cha uimbaji kuwa kizuri, na baadae Praise team waliongoza kusifu na kuabudu na kuushusha uwepo wa roho MT. akiongoza maombezi Mch kiongozi ambaye nae alitii na kuliongoza kanisa katika kumwabudu Mungu kwa zaidi ya dak 15 na kuingi kwenye maombezi moja kwa moja na kuacha kabisa kuhubiri.  zifuatazo ni baadhi ya matukio.Kwaya ya Revival Singers kutoka Basihaya wakiimba

Revival Singers

Wahudumu wakikemea mapepo Mch Thadeo, Mrs M'bezi ----

Mch Kanemba akiongoza kuabudu

Mzee Mwakibuti akiwa amezama katika kumwabudu Mungu
Wazee wakiwa wamezama

Mzee kiongozi akiogelea ndani ya Roho Mt

Wahumu wakiwasaidia watu


Mch Kiongozi akiongoza maombezi

Mch kiongozi akiwa kwenye maombezi

washirika wakiwa wamezama

Umati wote umezama ndani ya Roho Mt


Mathayo 6:33 Utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa.
Chapisha Maoni