Familia ya Mwakibuti katika ibada ya kubariki watoto. |
C. Mwaihojo na familia yake |
Uongozi mpya wa vijana ambao ulitangazwa jumapili |
Praise team wakiwa kazini |
M/kiti msitaafu wa vijana na M/kiti mpya na picha ya pamoja na Mch Kanemba muda mfupi kabla hajaondoka kwenda S.A |
Mch Mkongo akiwazua hapa na pale muda mfupi kabla Mch kanemba hajaondoka . |
Mch. Kanemba akiingia kwenya gari tayari kuelekea uwanja wa ndege kwa safari ya S.A |
Marry Daffi |
Familia ya M. Malecela katika ibada ya Kubariki watoto. |
Familia ya I. Kisiva |
Mtoto wa Mch Kanemba wakati wa ubarikio. |
Mch D. Kanemba akiongoza ibada ya kubariki watoto. |
Malecela akipewa cheti cha ubarikio wa mtoto wake |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni