Mch kutoka Marekani akifundisha katika kanisa la TAG Magomeni Jumapili iliyopita |
Mch kiongozi D. Kanemba wa kanisa la TAG Magomeni akiwa madhabahuni. |
Praise ya Magomeni TAG wakishambulia jukwaa wakati wa sifa |
Fundi mitambo na mwanamziki wa TAG Magomeni Mzima akipiga gitaa la bess wakati wa sifa. |
Mwl wa Praise na mpiga keyboard akifanya vitu vyake. |
Ibada ya j2 kulikuwa na harusi ya Nd Martin Kingu hapa wakiingia kanisani. |
Mungu mkubwa mtoto huyu alipata ajari ya kugongwa na gari akiwa anacheza chini dereva hakumwona hatahivyo hakuna tairi iliyomkanyaga ila alipata majeraha usoni na kulazwa muhimbili na sasa ni mzima |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni