Alhamisi, 18 Novemba 2010

Skukuu ya Vijana Magomeni TAG

Mwimbaji binafsi Mwasomola kutoka Mbeya akiimba kwenye sikukuu ya vijana.

Victor Haron na alikuwepo kwenye ibada hiyo iliyojaa waimbaji binafi


 washiriki wa shindano la Biblia wakwanza kushoto ni Grace Nyoni Michael Mzima Saimoni Bigae Elihuruma Calvary na Mr Mushi Mshindi wa shindano hilo alikuwa Elihuruma alijinyakulia sh 100,000. taslim.
  Mwenyekiti wa vijana Martin S. Malecela akiongea jambo kwenye sikukuu hiyo.
hao ni Joseph Mwakibuti na mkalimani Isack Kisiva kwenye ibada ya kiingeleza siku ya sikukuu.
Chapisha Maoni