Alhamisi, 23 Julai 2015

AUDIO BOOK IKO MTAANI NI CHA MWANDISHI FRED MSUNGU NI TECHNOLOGIA MPYA HAPA NCHINI USIKOSE KUNUNUA

 
IMG-20150720-WA0005
Kijana mwenye vipawa vingi katika tasnia ya Gospel Tanzania Kijana mwenye uwezo wa kucheza na Kinanda,Kijana mwenye uwezo wa kutumia sauti yake kufanya mabadiliko ya fikra chanya katika kizazi hiki,Kijana mwenye uwezo wa kutangaza kutumia sauti yake,Kijana mwenye uwezo wa kusimamia jambo lake na kuakikisha linatimia.Uwezo na vipaji alivyo navyo huwezi kuacha kumuweka katika listi yako ya vijana ulio kutana nao…..Muite Fred .D Msungu a.k.a Chief Daddy.
Fred Msungu kupitia account yake katika mtandao wa facebook aliahidi kabla mwaka kuisha liko jambo atafanya nalo ni *AUDIO BOOK*……Kwa mara ya kwanza hii ni *AUDIO BOOK* ya Kiswahili kutoka.Yapo madini mengi utakwenda kuyasikia kupitia *AUDIO BOOK* hii….Kwa mawasiliano ya kumiliki Copy yako mpigie kwa simu namba 0653318117 Tsh 7000 tu!!
IMG-20150720-WA0006


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Hakuna maoni: