WATU “225,000 WALIOHUDHULIA KATIKA SIKU YA MWISHO YA MKUTANO WA BONKE BONNKE KATIKA UWANJA WA UHURU PARK
Siku ya pili ya mkutano huo
Siku ya jumamosi, watu 200.000
walihudhuria
|
SIKU HIYO NA RAIS NA MAKAMU WAKE WALIHUDHULIA MKUTANO HUO ULIFANYIKA UHURU PARK |
|
MAKAMU WA RAIS LUTO AKISALIMIA WANANCHI |
|
RAIS UHURU AKISALIMIA WANANCHI |
|
UMATI WA WATU WALIOKUWEPO UWANJANI |
Hakika ilikua ni siku ya kipekee kwa wa Kenya na nchi jirani. Ishara na ajabu zimeonekana
katika viwanja vya Uhuru Park, ambapo Mungu amemtumia mtumishi wake
Reinhard Bonnke kwa jinsi ya tofauti. Utukufu na heshima apewe
Bwana.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671
AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni