Mwimbaji wa nyimbo za injili Allen Mwaipaja hatimae amezindua albamu yake inayoenda kwa jina la karibu na wewe iliyofanyika katika kanisa la lutherani kijitonyama. uzinduzi huo ulisindikizwa na waimbaji Ambwene Mwasongwe,Mirium Lukindo, na mkongwe Joshua John Mlelwa pamoja na vikundi vingine vingi
pata picha za tukio hilo hapo chini.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
pata picha za tukio hilo hapo chini.
![]() |
Kwaya ya vijana kijitonyama |
![]() |
Huyu jamaa ni nouma. Joshua John Mlelwa |
![]() |
James Honore stejini na gitaa lake la bass |
![]() |
Hawa ni kundi zima la Alkesha wakiperform |
![]() |
Ambwene Mwasongwe akiimba na Miriam Lukindo wa Mauki |
![]() |
Wakakutana Ambwene Mwasongwe, Miriam Lukindo na Bro. Joshua John Mlelwa stejini palikuwa padogo |
![]() |
Wanyakyusa wanavyopenda kukaa pamoja! |
![]() |
Miriam Lukindo wa Mauki akiwa kiroho zaidi |
![]() |
Allen Mwaipaja na kundi lake wakijiachia uweponi |
![]() |
MC Erick na Onai |
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni