Hatimaye uzinduzi wa kitabu cha mafundisho ya namna ya kumlea mtoto na kijana wako kimezinduliwa Jumapili. ibada ya uzinduzi wa kitabu hicho ulifanyika katika kanisa la city Haverst, katika ibada hiyo ambayo ilihubiriwa na mtunzi wa kitabu hicho mwl Prosper. kitabu hicho kiwekwa wakfu na kuzinduliwa na Mch kiongozi wa kanisa hilo Mch Yaled Dondo.mambo yaliyomo kwenye kitabu hicho ni kama ifuatavyo.
YALIYOMO
UTANGULIZI
SURA YA KWANZA (1)
HATUA ZA MAKUZI YA MTOTO
HATUA YA KWANZA
HATUA YA PILI
HATUA YA TATU
SURA YA PILI (2)
MATATIZO YA WATOTO NA VIJANA
SURA YA TATU (3)
AINA ZA MALEZI KATIKA MALEZI YA MTOTO
A. MALEZI YA KUTUMIA MAMLAKA AU NGUVU
MADHARA YA KUTUMIA MAMLAKA NA NGUVU.
B. MALEZI YA KURUHUSU (LAISSEZ FAIRE)
C. MALEZI YA KIDEMOKRASIA
D. MCHANGANYIKO WA MALEZI
SURA YA NNE (4)
MAZINGIRA YA MTOTO
A. MAZINGIRA YA NYUMBANI
A. MAZINGIRA YA SHULENI
B. MAZINGIRA KATI YA NYUMBANI NA SHULENI
SURA YA TANO (5)
WAZAZI WAFANYE NINI KWA WATOTO WAO
kitabu hicho kitakazoanza kupatikana sehemu mbalimbali vinakouzwa vitabu si cha kukosa maana kina mafundisho ya muhimu yanayohusu kuzitambua tabia za watoto wetu na namna ya kuwalea. katika kipindi tulicho nacho kumekuwa na mmomonyoko wa maadili ambayo imekuwa ni changamoto kubwa kwa kanisa na taifa kwa ujumla lakini mtumishi huyu wa Mungu amekuja na mafundisho ambayo yataisaidia jamii kuweza kupunguza mmomonyoko huo wa maadili ambao umesha kuwepo katika jamii.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Watoto wakihudumu katika ibada hiyo |
Mch Kiongozi Yaledi Dondo akiwa ameshika vitabu |
Sehemu ya watu waliohudhulia ibada hiyo |
Vitabu vikifunguliwa |
Vitabu tayari vimesha funguliwa |
Mch Yaledi Dondo kushoto pamoja na Mr&Mrs Wilbroad |
Mch Yaledi Dondo kushoto pamoja na Mr&Mrs Wilbroad |
Wanafamilia walioambatana na mwl Prosper. |
Mwonekano wa kitabu kwa nje |
kwa mahitaji yoyote ya vitabu hivi kwa bei ya jumla au lejaleja unaweza kuwasiliana moja kwa moja na mwl
WILLBROAD PROSPER
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Maoni 5 :
I feеl that is one of the most іmρoгtant
іnfο fοr me. And i'm happy studying your article. However wanna remark on few common things, The site style is great, the articles is in point of fact excellent : D. Just right activity, cheers
Feel free to visit my page: galaxys3.fr
Here is my blog :
Fantastiс web sіte. Plеnty of helрful info here.
I am sеndіng it to sеνeral fгiendѕ ans also sharing
in delicious. And of course, thank you in your swеat!
Herе is mу blοg ... galaxynote2.fr
Here is my blog
Thankѕ fοr the goоԁ wгitеup.
It іf truth be told was a leisure асcοunt it.
Look complex to far introduсeԁ agrеeable fгom уou!
By the wаy, how can we keep up a coггeѕpondence?
Feel free to νiѕit my blog: pikavippi
Also see my web site ::
Ӏ'd like to thank you for the efforts you've put in penning this sitе.
I am hoping to сheck out the same high-gгaԁe blog poѕts by yοu later on aѕ well.
In truth, your creative wгiting аbilitiеѕ haѕ inspired me to
get mу very own blοg noω ;)
Ϲhеcκ out my page :: jil
My web page -
If yоu are goіng for finеst contents lіkе I ԁo, only go to
see this web site аll the time sіnce it pгovides feаture
contents, thаnκs
Here іs my web blоg; vapornine
My web page ::
Chapisha Maoni