Jumanne, 25 Desemba 2012

MCHUNGAJI NA WASHIRIKA WAKE WATANO WAUWAWA KATIKA MKESHA WA CHRISTMAS HUKO NIGERIA


 


Watu wenye bunduki wamevamia kanisa moja kasikazini ya Nigeria wakati wa mkesha wa Christmas na kuuwa watu sita papo hapo akiwapo Mchungaji wa kanisa hilo.

Kundi la watu hao lilifika katika kijiji hicho na moja kwa moja walielekea kwenye kanisa hilo alisema Usman Mansir mkazi wa kijiji cha Peri karibu na Potiskum.

Walivamia kanisa na kuwaelekezea buduki na kumuua Mch pamoja na waumini watano. Mkuu wa Polisi wa Yobe amethibitisha habari hizo kutokea

Kikundi cha kiislamu cha boko haram kimekuwa kikijihusisha na mashambulio mbali mbali katika makanisa huko Nigeria. Kumekuwa na mauaji ya wakristo huko kutoka mwaka 2009 na yanazidi kushika kasi kila itavyo leo.


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Hakuna maoni: