LAUGH
AGAIN CONCERT SERIES YA
KING CHAVALA SASA KUJA KIVINGINE 23/09/2012
NDANI
YA DPC KINONDONI BILA
KIINGILIO!
....Ni
Episode VI ya Season I....LAUGH AGAIN
CONCERT.....Revolution!!!
Baada ya Matamasha mengi kufanyika hapa Jijini na lile
la mwisho dogo la washika dau wa karibu kufanyika CCC-Upanga mara ya mwisho,
mwishoni mwa mwezi wa sita, tamasha ambalo liliwakutanisha King Chavala na Gee
and Seth; 1st Q Dancers; J-Sisters; na Comedians Chidundo na Mrema chini ushereheshaji wa
mkongwe Papaa Sebene-The Blogger sasa The King anakuja na tamasha lingine la
kimapinduzi, moja kutoka mwishoni wa Season ya Kwanza, na mwishoni mwa mwaka wa
kwanza wa LACS na hili ni zawadi ya kipekee kwa wapenzi, washika dau na hata
wale washika hatamu wapya!
Hili Tamasha la Sita la
kipekee...na hili litakuwa kubwa kuliko yote yaliyopita popote, maana baada ya
hili kuna lile la mwisho ambalo litakuwa maalumu kwa ajili ya kurekodi LIVE
VIDEO YA COMEDY NA VIPAJI VYOTE VYA SEASON ONE! Na tamasha la December
linakusudiwa kuwa Dec 28,2012 pale CCC-Upanga.
LAUGH AGAIN
CONCERT....Revolution!!!! ni
tamasha la kipekee ambalo halitakuwa na kiingilio mlangoni, ingawa washika dau
wanakaribishwa kuchangia au kuunga mkono kwa namna yeyote ile wanayoweza kuguswa
mioyoni mwenu.....mchango wako unaweza kutufikia kupitia mawasiliano haya au kwa
njia ya benki ya simu kwa no. Hizi (+255 713 883 797 au +255 753 883
797)
LAUGH AGAIN
CONCERT.....Revolution!!!
litawahusisha King
Chavala pamoja na vijana wake
Richard
Chidundo na Mc Pilipili...zaidi
kutakuwa na nafasi ya wazi kwa vijana kujaribu kuonyesha vipaji vyao. Zaidi watu
au makundi mengine ambayo yatashiriki ni THE VOICE; GLORIOUS CELEBRATION;
WORDALIVE BAND NA 1ST Q
DANCERS na wengine wengi!!
LAUGH AGAIN
CONCERT.....Revolution!!!! itafanyika Dar es salaam Pentekoste Church kinondoni(DPC
Kinondoni) tar 23/09/2012 kuanzia 2:30-7:30pm na Hakuna
kiingilio,jialike wewe na uwaalike wote!!!
Katika harakati za kukuza
vipaji vya kiasili(Natural talents) na kutambulisha Stand Up Comedy Tanzania;
LACS imekuwa ni project ya kwanza kutembelea mikoa mingi ya Tanzania na kukutana
na wadau mbalimbali kama vile media,makampuni,taasisi,mashirika na makanisa ili
tu kwa pamoja wajiunge katika harakati hizi za kuhakikisha Christian Natural
Talents zinapata heshima ya kutosha na vijana hao wenye vipaji wanachangamkia na
kuujenga ufalme wa Mungu kupitia vipaji hivyo.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671
AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni