kuanzia trela la picha inayoiwa the innocene of muslims a dakika 14, imewekwa mtandaoni kweye youtube na watengenezaji wa kimarekani imeamusha hasira katika nchi nyingi za kiislamu Duniani
hasira hizo ambazo zimetapakaa katika nchi za mashariki ya kati na Afrika zikiwapo nchi za Egypt, Lebanon, Qatar, Bangladesh, Kashmir,
Pakistan, Bahrain, Palestine, Tunisia, and Sudan.
Polisi wa Sudani wakiwa wamesimama kuweka ulinzi mbele ya watu waliojaa nje ya ubalozi a Ujerumani waliokuwa wanapinga picha ya kudhalilisha uislamu hata hivyo watu hao waliweza kuingi ndani ya ubalozi huo
hapa inaonyesha jinsi wandamanaji wakiwa ameingia ndani ya ubalozi wa Ujerumani na kuanza kuchoma moto vitu ikiapo bendela ya nchi hiyo
waandamanaji wapatao 5000 ambao wamesimama je ya ubalozi wa Ujerumani na Uingeleza
huko Misri kumewekwa matofali makubwa ya zege na kuweka askari wengi ili kuzuia watu kwenda kwenye balozi.
kundi la watu wenye hasira huko Cairo wakiwa eneo ulipo ubalozi wa Marekani huku kukiwa na kizuizi kikubwa cha polisi kuzuia watu
Gari likiwa lmechomwa moto
Hakunakupita hapa polisi wakijarbu uwazuia waandamaji
Haya njo nikamate sasa ndiyo anavyooneka kusema mwaandamanaji huyo. huku polisi wakitumia risasi bandia na gesi kutuliza ghasia
watu wakiwawamechoa moto mgahawa huko Lebanoni
wakivunja na kuchoma moto vitu huko Lebnoni
waandamanaji wakichoma moto bendera ya Marekani huko Bangladeshi
wakiwa na hasira ni waandamanaji huko Bangladeshi
Bendela ikichomwa moto
Wapalestina wakichoma bendela moto
Bendela ya Israel na Marekani zikichomwa moto
aliyekuwa baloz wa Marekani chini Libya Christopher Stevens, ambaye ameuwawa huko Libya
mwandanamaji akiwauhia polisi bomu la machozi lililorushwa kwao
Poisi wakiruhiwamawe huko Misri
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671
AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni