†
Miwani
10,000 za kusomea kugawiwa Bure
†
Wafanyabiashara
wakubwa na viongozi wa serikari kuinjilishwa kupitia Evening Dinner
†
Kikundi
maalumu cha Michezo ya Baiskeli kuonyesha ufundi wa kuchezea
baiskeli
†
Tofauti
na Donnie Moen, Nicole C Mullen ,Christina Shusho,John Lissu,Pastor Safari
Paul wa DPC kuongoza Love Tanzania Festival Praise Team
Love
Tanzania Festival ni kusanyiko kubwa la kihistoria litakalofanyika kuanzia
tarehe 11-12/08/2012 katika viwanja vya Jangwani kuanzia saa saba mchana mpaka
saa 2 Usiku.Kwa mujibu wa mmoja wa waandaaji wa kusanyiko hilo Brother Prosper
Mwakitalima ameiambia Hosanna Inc kuwa katika kufanikisha kusanyiko hilo
makanisa zaidi ya 800 yameshiriki katika maandalizi ya tukio hilo maalumu lenye
lengo la kuwakutanisha watu wa dini,kabila,rika zote kwa lengo la kumtukuza
Kristo Yesu.
Kwa
mujibu wa Mwakitalima kabla ya shughuli ya tarehe 11 na 12 kuna shughuli
mbalimbali ambazo Love Tanzania Festival itakuwa ikizifanya kwa jamii ya
Tanzania.
Ifuatayo
ni Ratiba ya shughuli nzima za LOVE TANZANIA FESTIVAL.
Tarehe
5 August 7:00Asbh – 10.00 Asbh
Mbeba
maono wa Love Tanzania Featival mtumishi Andrew Palau atahubiri ibada zote
mbili katika kanisa la Upanga City Christian Centre (UCC)
Muimbaji
mashuhuri Nicole C Mullen atahudumu
|
Tarehe
7 August 10Asbh
Kutafanyika
Mkutano wa waandishi wa habari(Press Confference) katika Ukumbi wa TBD ambapo
Andrew Palau akiambatana na wachungaji, Maaskofu,waimbaji na kikundi cha
waonyesha michezo ya Baiskeli watakuwa wakiongea na waandishi wa
habari.
Usiku
huo wa Tarehe 7 kuanzia saa 11.30 jioni katika ukumbi wa KARIMJEE kutafanyika
WOMENS DINNER ambapo kamati imewakaribisha zaidi ya wamama 600 nao watapata
nafasi kusikiliza na ya kubadilishana mawazo na Andrew Palau.
Tarehe
8 August 12:00 jioni
Katika
Ukumbi wa Karimjee Hall kutafanyika hafla ya chakula cha jioni ambapo viongozi mbalimbali wa
serikali na wafanyabiashara wakubwa watapata nafasi ya kukutana na Palau ambapo
mtumishi huyo atatumia nafasi hiyo kumtangaza kristo kwa tabaka hilo la
watanzania ambao kwa namna moja au nyingine limekuwa ni vigumu kufikiwa na
injili ya Yesu kristo.
Tarehe
10:August 8:00 Mchana – 9:00 Jioni
Kutafanyika
maozoezi(Rehesal)ya michezo ya Baiskeli ambapo kikundi cha JUNGLE RUSH FMX
kutoka Afrika ya Kusini kitakuwa kikifanya mazoezi hayo ili kujiweka sawa.Baada
ya mazoezi hayo kutafanyika MAOMBI rasmi kwa ajili ya kuuweka wakfu uwanja wa
Jangwani kwa ajili ya shughuli nzima ya tarehe 11-12.
VITUO
MAALUMU KWA AJILI YA CLINIC YA MACHO
Love
Tanzania Festival siyo tu itahusisha kuponya ROHO za watu kupitia neno la Mungu,
pia watakuwepo Madaktari maalumu wa macho kutoka Marekani na watashirikiana na
madaktari wa ki-Tanzania ambapo watakuwa wakipima watu mbalimbali wenye matatizo
ya macho BURE, wale wenye matatizo ya kutoona vizuri maandishi watapewa MIWANI
za kusomea BURE.Jumla ya miwani zipatazo elfu kumi(10,000) zipo kwa ajili ya
kugawiwa kwa watanzania ambao watabainika na matatizo hayo, Ratiba ya Clinic
hiyo itakayokuwa na vituo vinne ni kama ifuatavyo.
Kituo 1:St Nicholaus Anglican Church
–ILALA
Kituo cha 2:Tanzania Assemblies of GOD
(TAG-Mbagala)
Kituo cha 3:Lutheran Chuch –
Vingunguti
Kituo cha 4: Baptist Mission Church –
Magomeni
Kliniki
zote hizi zitakuwa zinaanza saa nne asubuhi mpaka saa kumi jioni
Donnie
Moen kuhudumu Masanja Mkandamizaji Christina Shusho WALE WA KIMOMBO TWENDE HIVI |
Executive
Summary:
Love Tanzania Festival is a part of a larger story in
Africa that involves 10 Capital Cities in 10 yrs. A vision of International evangelist Andrew
Palau - supported and invited by leaders in Africa. Significant Festivals have taken place in
Cairo, Egypt; Kigali, Rwanda; Kampala, Uganda; Bujumbura, Burundi and now on August 11-12 in Dar es Salaam.
800 plus churches will host Love Tanzania Festival
with Andrew Palau. The Festival will take place at Jangwani Grounds and will feature:
Ø
a high energy Children’s program with DUGGIE DUG DUG from London,
England;
Ø
Action Sports Demos (including FMX stunt team JUNGLE RUSH from Johannesburg,
SA and BMX shows performed by ACTION SPORTS OUTREACH from San Diego, CA);
Ø
Food Vendors will be providing food each day so bring a little cash
to buy something to eat.
Ø
The Festival will also feature a world class Gospel Music show.
Ø
The Main Stage will present local Tanzanian artists; THE VOICE,
CHRISTINA SHUSHO, JOHN LISU plus a team of well-known worship leaders.
Ø
Tanzania’s much loved MASANJA will share his story, and
Ø
Dar es Salaam will also be blessed to host international Gospel
Music sensations DON MOEN and NICOLE C MULLEN and DAVE LUBBEN.
Ø
Each day Andrew Palau will be with us to share a message of love and
hope for Tanzania. This event is a
partnership between the Luis Palau Association based in Portland, OR in the USA
and currently over 800 churches in the city. The local leadership planning this
Festival involves nearly 200 people from every major denomination in the city.
” This is a unique moment to celebrate, to come
together to Love Tanzania. Don’t miss it!”
Archbishop Valentino
Mokiwa (One of the organizing Bishops)
EVENTS – OPEN TO ALL MEDIA
5 August CITY
CENTRE CHURCH AOG (UPANGA)
7:00a.m. / 10:00a.m. Andrew Palau will Preach at both
Sunday Service
10:00a.m. Location
TBD. All Media Houses will be invited.
Bishops, Local Artists, Andrew Palau
and BMX team will address the media.
6-10 August READING EYE GLASS CLINICS
10:00a.m-4:00p.m. St. Nicholas’ Anglican Church
(Ilala)
Tanzania Assemblies of God (TAG)
(Mbagala)
The Lutheran Church (Vingunguti)
Baptist Mission Church (Magomeni)
10,000 Pairs of Reading Glasses will be
available at these 4 locations for free. US and Tanzanian Eye Doctors are
partnering together under Love Tanzania to bring a tremendous gift in these 4
communities. Come Early to see the Doctor
and receive a free pair of reading glasses
6-10 August SOCCER
+ BASKETBALL CLINICS
9:00-11:30a.m
/ 1:30-4:30p.m. Play for Hope
15 Professional Soccer / Basketball coaches
from Rwanda will host clinics for thousands of kids in Ilala, Temeke and
Kinondoni. Confirmed Schedule distributed to Media Houses
by July 23rd.
SCHOOL
PRESENTATIONS
Duggie Dug Dug and a team of Volunteers
will do presentations in 8 primary Schools.
Vic Murphy, John Andrus (BMX ACTION SPORTS
Team) will do Demos in 5 Primary Schools and then will team up with the Play
for Hope Afternoon Main site. The Action Sports team will be joined by
international evangelist Mike Parker and a team of volunteers.
Confirmed Schedule
distributed to Media Houses by July 23rd
7 August WOMEN’S
DINNER
5:30
p.m. Karimjee Hall
Matron of Honor,
Evelyne Warioba, and the LTF Women’s Committee are inviting 600 Women to an
elegant dinner to hear Wendy and Andrew Palau share their story.
8 August BUSINESS
AND CIVIC LEADERS DINNER
6:00 p.m. Karimjee Hall
600
Government, Corporate CEOs, Dar es Salaam leaders will be
invited to another special Dinner moment with Andrew Palau.
*NOTE: Events at Karimjee are not open to public to
attend. These two dinners are invitation
only events. If you as Media desire to
attend to cover the story please contact Lillian to indicate an interest to
attend.
10 August FMX
(MOTOR CROSS) PRACTICE
2:00-3:00p.m. Jangwani Grounds
JUNGLE RUSH FMX from Joberg will be onsite getting ready for Love
Tanzania Festival. Cameras are
encouraged and live shots
are available for Evening News Stories.
DEDICATION
PROGRAM
3:00-6:00p.m. Jangwani Grounds
All
Volunteer Workers will be asked to attend this dedication time. Potentially 2,000-3,000 workers will attend.
Saturday – Sunday 11-12 August
LOVE TANZANIA FESTIVAL WITH
ANDREW PALAU
1:00
– 3:00p.m CHILDRENS PROGRAM
Games,
Jumper Castles, Soccer Clinics and
DUGGIE
DUG DUG
3:00-4:00p.m. ACTION SPORTS DEMOS
FMX/ BMX presentation
4:00-8:00p.m. MAIN STAGE
Tanzanian Artists
THE VOICE
CHRISTINA SHUSHO
JOHN LISU/ SAFARI PAUL and National Worship Leaders
MASANJA – Faith Story
International GOSPEL MUSIC artists:
DON MOEN
NICOLE C. MULLEN
DAVE LUBBEN
NICOLE C. MULLEN
DAVE LUBBEN
Each day the Festival will feature a
special presentation of LOVE and a message of Hope from international
evangelist Andrew Palau.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni