PAMOJA NA MILIPUKO ILIYOTOKEA JUMAPILI ILIYOPITA HUKO BOKO HARAM, KANO BADO WASHIRIKA WAMEJITOKEZA KWA WINGI KWENDA KUABUDU.
Wakristo wanaoishi kasikazini ya Nigeria wamefanya maombi maalumu jana jumapili kumuomba Mungu kurudisha amani tena. Maombi hayo yamefanywa baada ya makanisa kadhaa kulipuliwa na mabomu jumapili iliyopita Kaduna na Zaria.
Pastor Edward Isah wa kanisa la Covenant amewataka wakristo kukesha, kuomba na sio kuchukua sheria mkononi kwa kulipa kisasi.
Isah amewasisitiza washika kuendelea kuomba amani katika nchi yao na Mungu awafariji na kuwafunika wale walio kumba na misukosuko ya makanisa yao kulipuliwa.
Naye , Bishop Idowu Fearon wa Kaduna Anglican Diocese amewaomba wakristo na waislamu waishi kwa amani na waipe nafasi amani katika maisha yao na waishi kwa upendo kama Mungu alivyoagiza.
Fearon ameliambia NAN kuwa mungu aliwaumba wakristo na waislamu ili waishi pamoja kwa amani pamoja na tofauti ya imani zao hapo Kaduna. Na tunatakiwa kuyakubari mapenzi ya Mungu kutuweka kuishi pamoja hivyo kila mtu aheshimu imani ya mwenzake KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
waumini wakiwa kanisani |
Pamoja na shirika la habari la Reuters kutangaza kuwa kumekuwa na mahudhulio
madogo makanisani kwa kuhofia kulipuliwa na mabomu, katika miji ya Abuja na
Kaduna, kulikuwa na ulinzi mkali kuzunguka makanisa na katika mitaa mikubwa
huko Kano. Katika makanisa mengi magari hayakuruhusiwa kuingia katika maeneo ya
kanisa wakati wa Ibada. Askari na Polisi walionekana katika maeneo ya sabongari
na maeneo yenye mkusanyiko wa wakristo wengi. Mshirika Simon Adesete amesema
kuwa ulinzi mkali uliowekwa umewafariji wa umini wengi na kuamua kwenda kwenye
makanisa. Na katika mitaa shughuli za kila siku zimeendelea kama kawaida bila
tatizo lolote huku mamia ya watu wamekuwa wakipita na kukaguliwa kabla ya
kuingia katika maeneo ya makanisa. Baadhi ya waliohojiwa wamesema ni bora kufia
katika nyumba ya Mungu kuliko kwenye kumbi za starehe au mtaani tu. Amesema Franklin
Okoye, raisi wa jumuiya ya makanisa ya Abuja .
WAKRISTO WALIO KASIKAZINI WAFANYA MAOMBI ILI AMANI ILEJEE
Wakristo wanaoishi kasikazini ya Nigeria wamefanya maombi maalumu jana jumapili kumuomba Mungu kurudisha amani tena. Maombi hayo yamefanywa baada ya makanisa kadhaa kulipuliwa na mabomu jumapili iliyopita Kaduna na Zaria.
Pastor Edward Isah wa kanisa la Covenant amewataka wakristo kukesha, kuomba na sio kuchukua sheria mkononi kwa kulipa kisasi.
Isah amewasisitiza washika kuendelea kuomba amani katika nchi yao na Mungu awafariji na kuwafunika wale walio kumba na misukosuko ya makanisa yao kulipuliwa.
Naye , Bishop Idowu Fearon wa Kaduna Anglican Diocese amewaomba wakristo na waislamu waishi kwa amani na waipe nafasi amani katika maisha yao na waishi kwa upendo kama Mungu alivyoagiza.
Fearon ameliambia NAN kuwa mungu aliwaumba wakristo na waislamu ili waishi pamoja kwa amani pamoja na tofauti ya imani zao hapo Kaduna. Na tunatakiwa kuyakubari mapenzi ya Mungu kutuweka kuishi pamoja hivyo kila mtu aheshimu imani ya mwenzake KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni