Ijumaa, 18 Septemba 2015

HILI NDILO KANISA KUBWA KUPITA YOTE NCHINI ZIMBABWE.13
Miongoni mwa Makanisa makubwa nchini Zimbabwe Kanisa la PROPHET MAGAYA ndilo linaongoza kwa ukubwa likifatia Kanisa la Prophet Makandiwa,la mwisho la Apostle Vutabwashe.Zifatazo ni picha za Kanisa la PROPHET MAGAYA kuanzia ndani ya Kanisa hadi njee ya Kanisa hilo.
1
Hiyo picha hapo ni magongo ya walemavu yaliyo tundikwa juu ya kuta za kanisa baada ya kupokea uponyaji.
2
Njee ya Kanisa kama kuonekanavyo…..
3
Madhabau ya Prophet MAGAYA.
5
6
7
4    8
Hii ni sehemu maalumu kwajili ya kuomba.Ni sehemu iliyo zungushiwa fensi na kuwekwa mchanga ambao uliwekwa wakfu na Prophet MAGAYA.Wageni mbalimbali ufika sehemu hii na kuomba na kubeba mchanga huoo.
9 10 11
Nimwendo wa S….huyo Dada hapo mbele ndiye anaye husika na kupokea wageni na kuwazungusha katika Kanisa hilo.
12 14 15

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni