Alhamisi, 18 Juni 2015

HIVI NDIVYO UZINDUZI WA FLORA MBASHA ULIVYOKUWA, MGENI RASMI ALIKUWA MH MBOWE


A32
Muimbaji wa muziki wa Gospel Tanzania Flora Mbasha amefanya uazinduzi wa DVD yake pamoja na Band yake mpya siku ya J/pili katika ukumbi wa Ubungo Plaza.Uzinduzi huo uliokua na matukio mbalimbali yakiwemo Makirikiri pamoja na waimbaji kama Ambwene Mwasongwe,Joseph Nyuki,Christopher Mwahangila,Christina Matai,Neema Gasper,na Furaha Isaya.
Flora Mbasha ndiye aliye fungua uzinduzi huo akiwa anasindikizwa na Makirikiri na kufatiwa na mgeni rasmi Mh Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA.
Hapa nimekuwekea matukio ya picha
A1
Flora Mbasha mamaa wa vocalll!!
A2
Back vocal
A3
Coordinator Peter
A4 A5
Hapa ni VIP (Ubungo Plaza) Flora Mbasha akimsubiri mgeni rasmi.
A6 A7
Blogger Jimmy na Ambwene Mwasongwe khaa!!
A8 A9
Wadau na wapenzi wa muziki wa Ambwene…katika pozi la picha
A10
Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA Freeman Mbowe.
A11 A12
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.
A13 A14 A15 A16 A17 A18 A19 A20 A21 A22
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akizindua DVD ya Flora Mbasha
A23 A24 A25 A26 A27 A28
Majeshi Majeshi akiwa na Mh.Freeman Mbowe.
A29 A30 A31 A33 A34 A35 A36
Flora Mbasha katika ubora wake,akiwa anafanya kweli mdau wangu
A37
Wapigaji wa Band ya Flora Mbasha wakiwa katika pozi la picha kwa pamoja
A38 A39
Ndugu wa upande wa Flora….mwenye nguo nyeupe wa 3 kutoka kusho ni Mama mzazi wa Flora Mbasha.
A40


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni