Jumamosi, 22 Novemba 2014

HAYA NDIYO YALIYOTOKEA WAKATI WA MAZISHI YA NABII ELIYA, NAYO NI UTATA MTUPU FAHAMU WAMESEMA NINI WANA SILOAM

Kama ambavyo ilivyokuwa utata wa chanzo cha kifo cha nabii wa mapenzi ya mungu wa kizazi cha nne hata mazishi yake yamekuwa na utata. kumekuwa na sababu 2 zinazoelezwa kuwa ni chanzo cha kifo chake. wengine walisema alichomwa na msumali na hakuchoma sindano ya tetenasi na ndicho lilisababisha kifo chake na taarifa nyingine inasema kuwa alikuwa na lengelenge katika mkono wake na ndicho kilisababisha kifo chake ukweli unabaki kwa watu wa nyumbani kwake. washirika wake wote hawakuonyesha simanzi yoyote ya kuondokewa na kiongozi wao bali ilikuwa ni shangwe, Kuna mabo yaliyojitokeza katika mazishi hayo ikiwamo kupatwa kwa jua na tetemeko kutokea wakati wakiwa kaburini.

haya hapa chini ni maneno ya mtangazaji wa radio ya siloam na mshirika wa kanisa hilo
Hekima Moto

TANGAZO KWA JAMII ZOTE NDANI NA NJE YA TANZANIA KANISA LA SILOAM NDIO KANISA LA KWELI NA ELIYA WA MWISHO KAPAAA ILA AMEIACHA HIYO ROHO YA ELIYA KWA KANISA LA SILOAM, SIO UONGO KARIBUNI SANA.


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni