Jumatatu, 4 Agosti 2014

HIVI NDIVYO KANISA LA FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP LILIVYO SHEREKEA MIAKA 25 .



Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) linaloongozwa na Askofu Mkuu, Zachary Kakobe limesherekea miaka 25 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1989 leo kwa maandamano.
Sherehe hizo zilihudhuriwa
na waumini  zaidi ya 5,000 kutoka mikoa na wilaya mbalimbali za Tanzania na  maandamano hayo yalianzia Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mpaka makao makuu ya kanisa hilo Barabara ya Sam Nujoma.
 Kwaya ya FGBF Mwika Moshi na pozi la picha















Askofu Kakobe na baadhi ya wachungaji wakiwasili kanisani
Askofu Kakobe akizungumza na waandishi wa habari
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Hakuna maoni: