Jumanne, 8 Julai 2014

TANGAZO KWA WAIMBAJI WA INJILI

Chama cha muziki wa injili Tanzania kinakushauri mwimbaji, mwanamuziki na kwa wapenzi wa muziki wa injili kujaza fomu za kujiunga na chama pamoja nakujipatia kadi ya uanachama. Kumbuka tunategemea kuwa na kikao cha wanachama na walezi, watakao hudhuria na kunufaika ni wanachama wenye kadi. Kwa fomu na kadi wasiliana na katibu 0713 778 778
 


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni