Jumatatu, 14 Julai 2014

SHEREHE ZA MIAKA 75 YA TAG ZA FANA, RAIS KIKWETE APEWA TUZO, ILIKUWA LIVE KWENYE TV 2

Jana ndiyo ilikuwa kilele cha maazimisho ya jubilee ya miaka 75 ya kanisa la TAG, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika uwanja wa kumbukumbu ya sokoine jijini Mbeya, shamla shamla za matukio mbalimbali yalipamba maadhimisho hayo na kuwa ya kihistoria kuwahi kutokea katika kanisa hilo. Mgeni rasm katika sherehe hizo alikuwa Rais wa jamhuri ya muungno wa Tanzania mh J. Kikwete. ukiacha wachungaji kutoka sehemu mbalimbali hapa mchini pia kulikuwepo na wageni kutoka nje ya nchi na wananchi kutoka kila sehemu ya Tanzania. hapo chini ni baadhi ya picha za tukio hilo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi kwenye  kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa la Tanzania Assemblies of God  katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi kwenye kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014. (picha zote, melezo: Ikulu)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha  Tanzania Assemblies of God (TAG) akiwa na  Askofu Mkuu wa TAG Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014
Rais Kikwete akizindua kitabu cha TAG akiwa na Askofu Mkuu wa TAG, Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 75 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai 13, 2014

Rais Kikwete akikabidhiwa tuzo na Askofu Mkuu TAG, Dkt Mtokambali wakati wa kilele cha sherehe hizo.Picha na Mbeya yetu Blog
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni