Jumatano, 9 Julai 2014

RAPPER GAZUKO AFAGILIA DVD YA SAMMY KAPELA                                                  GAZUKO AKIWA JUKWANI
kwanza kabisa nimpongeze kijana ambaye anayekuja juu ktk huduma ya muziki wa injili huyu si mwingine bali ni Sammy Sammy Kapelah kwa kitu alichokifanya na anapaswa kuungwa mkono ambacho waimbaji wengi hawajawahi kufanya tukio kama hili na kama wamefanya bhas dvd zao hawajazitoa nakuzisambaza kwa mashabiki wa muziki wa injili hapa bongo..
Sammy Kapela alifanya tamasha lake la kutambulisha wimbo wake unaoitwa shtuka kwa Yesu na kuwaalika waimbaji mbali mbali wa muziki wa injili nikiwepo mimi Gazuko na baada ya tamasha akaona kuwa mashabiki walioshindwa kufika kwa siku ile sio mbaya wakaweza kujionea kila kitu kilichofanyika siku ya tukio hivyo ameamuamua kuachia dvd yenye full matukio ya tamasha lake sasa ipo inapatikana mkononi mwake hivyo unaweza kumsapoti huyu kijana wetu na injili isonge mbele..miongoni mwa waimbaji walioimba humo utaweza kuniona na mimi ambapo humo nimeimba wimbo wangu wa asante sana dvd hii inapatikana kwa shilingi elfu tano tu.

COVER LA DVD LA SHTUKA KWA YESU

wasiliana na Sammy Kapela kwa simu namba 0767116162 au 0718116491
ili kuipata dvd hii nasisitiza wadau wangu naomba tumsapoti
pia katika hili naomba timu nzima ya YESU OKOA MITAA TZ kuanzia Apostle Bashando Marwa, Rungu LA Yesu, Aloyce Samweli Mbezi, Kevin Zakaria Peter Banzi, Hope J Mkama Huru Kweli, Baltazary Morefire, Mophat Tz Gerrard Kulwa, Shwari Kuu Veejay na wengine wote tusibaki nyuma kumsapoti huyu kijana


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni