Jumanne, 6 Mei 2014

TAMSHA LA PASAKA MWANZA. ZIKIWEMO NA PICHA ZA REBECCA MALOPE AKIIMBA.

Hatimae tamasha la pasaka limefanyika kule Mwanza na huku malkia wa gospel Africa Rebecca Malope akikoga nyoyo za wakazi wa Mwanza, tamasha hilo liliandaliwa na msama promotion na huwa linafanyika kila mwaka msimu wa pasaka.

 Rebecca Malope kutoka Afrika kusini akifanya kweli kwenye Tamsha la Pasaka Mwanza.

 
 Rebecca Malope akifanya kweli

 
 Mh William Ngereja akiwa amenyanyua albam mbili za muimbaji Grace Mwikwabe baada ya kuzizindua,kulia ni Alex Msama mkurugenzi wa Msama Promotion.
 Kushoto ni HK 1 Hadson Kamoga,Alex Msama,John Lisu,The voice,na Mess Jacob.
 Upendo Kirahilo kama kawa akifanya kweli mdau wangu.
 Mama wa Lisema...Sara K kutoka Kenya akifanya vitu vyake mbele ya mashabiki.
 Picha zote na Full Shangwe...

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Hakuna maoni: