Ijumaa, 16 Mei 2014

STAR WA NYIMBO ZA SOUL STEVE WANDER AGEUKIA NYIMBO ZA INJILI NA SASA ANAANDAA ALBAMU ITAKAYOITWA GOSPEL INSPIRED

Mwana mziki kipofu Steve Wonder ambaye alitamba sana katika miaka ya nyumba katika miziki ya kidunia huku akionyesha uwezo wake wa kupiga ala za mziki na kuimba na kujizolea sifa nyingi sasa amegeukia nyimbo za injili.


 Mwanamziki huyo akifanya mahojiano na gazeti moja, alisema nyimbo hizo zitamkumbusha mama yake ambaye mara nyingi alipenda ambimbe nyimbo za gospel lakini hakufanya hivyo mpaka mama yake akafariki, alisema mama yake alitoa mchango mkubwa katika kuandaa nyimbo zake zinazovuma kama I Was Made to Love Her”  “Signed, Sealed, Delivered I’m Yours.
Steve alipiga na kuimba

alibamu hivyo inayoandaliwa itakuwa na vionjo tofauti ili kuweza kuguza watu wakila aina baadhi ya nyimbo zitaimbwaa na kupigwa ala za kiasili lakini nyingine zitakuwa ni twist, na nyingine katika lugha ya kiarabu aidha amesema nyimbo nyingi zitazungumzia upendo maana ndicho kitu kikubwa Mungu anachotaka kwetu.

unaweza kuendelea kusoma hapa http://theyolandaadamsmorningshow.com/600222/stevie-wonder-gospel-album/
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni