Alhamisi, 1 Mei 2014

KWA MARA YA KWANZA WIMBO WA KULIOMBEA BUNGE LA KATIBA UKO HEWANI NI WA EMANUEL KADUMA ANGALIA HAPA

Kwa mara ya kwanza wimbo maalumu wa kuliombea bunge la katiba sasa uko hewani unaweza kuuangalia hapa. kuanzia bunge la katiba lianze na kutokuwa na maelewano mazuri ndani ya bunge hilo hata kupelekea baadhi ya wabunge kususia vikao hivyo. makanisani na misikitini kumekuwa na maombi ya kuombea mchakato huo hasa kwa wapenda amani na wenye mapenzi mema ya nchi ya Tanzania, Emanueli Kaduma ambaye yeye ni producer wa nyimbo za injili anayefanyia kazi zake mkoa wa Iringa ametunga na kujirekodi wimbo mzuri wa kuliombea bunge letu la katiba. Big up zake kubwa sana kwa kuweza kuwa na wazo la kutoa wimbo kama huo.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 784 477775 whatup +255 784477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni