Jumamosi, 26 Aprili 2014

MAAJABU WANAKIJIJI WAISHI KWA KULA MANNA NI BAADA YA KUFUNGA NA KUOMBA IKAANZA KUDONDOKA

WAKATI MWINGINE WATU HUWA WANASOMA BIBLIA KAMA HADITHI TU. Na ni mara chache sana watu kulifanyia kazi na kusababisha miujiza au matendo makuu katika maisha yao. huko Angola Africa Mungu ameendelea kudhihilisha kuwa ukiliamini neno la Mungu na kutokutia shaka yeyote basi hufanya sasa na neno lake.


Unawezaangalia habari hiyo hapo chini ila kwa ufupi kama huwezi fungua ni habari iliyo tapakaa huko Angola baada ya mana kudondoka kutoka mbinguni. katika mission hiyo kulikuwa na ukame na mavuno haya kuwa mazuri ndipo wakaamua kuomba kwa muda ya siku tatu kumuomba Mungu alete chakula, msimamiaji wa maombi hayo aliwakumbusha wanamaombi ambavyo Mungu aliweza kuwashushia wana Israel Mana na wakala huko Jangwani. wakiwa katika maombi binti yao alikuwa anacheza nje na akaona vitu weupe vikidondoka.

na kulitokea watu weupe kama wazungu wakamwambia aokote ale akala na nyingine akabeba akapeleka nyumbani wazazi wake walimuuliza amebeba nini yeye akasema mana wakamwambia asile yeye akajibu nilisha kula nilikutana na watu wawili wakaniambia nile ilibidi waende kuangalia na hawakukuta mtu yeyote walikwisha toweka. kwanzia wakati huo wakawa wanakusanya kuanza kula hiyo mana kwa muda sasa.


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni