Jumatano, 20 Novemba 2013

NATAKA NIJUEE YA CHRISTINA SHUSHO LIVE CCC JUMAPILI

Katika Tamasha la Live Recording ya Christina Shusho... anategemea kuafanya collabo na waimbaji kadhaaa akiwepo Bro Joshua MLELWA ambaye mie binafsi yangu namkubaligi mbaaaya... i mean mbaaaya!!!! kwa wasio mfahamu Joshua aling'ara saana akiwa na kundi la Upendo Group kabla haja simama kivyake pamoja na mkewe. Huyu jamaa ananguvu ya ajabu saana awapo jukwaani and he is very anointed... Nakumbuka nilikuwa naye kwenye hudumua katika kanisa moja kahama wimbo wake wa "Ni wewe" ulitibua hali ya hewa kwa nguvu za Roho mtakatifu isivyo kawaida... Sasa TAREHE 24 pale CCC UPANGA, ataimba nyimbo zake lakini pia atafanya wimbo maalumu pamoja na CHRISTINA. Waimbaji wengine ambao watafanya collabo na Shusho ni UPENDO KILAHIRO na kundi la THE VOICE. DONT PLAN TO MISS THIS BIG EVENT.KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni