Jumanne, 17 Septemba 2013

SHOGA ANTI ASU ALIYEOKOKA AFANYIWA SHEREHE YA KUMUKARIBISHA MAISHA MAPYA BAADA YA KUOKOKA

HATIMAYE Amosi amefanyiwa shererhe kubwa kumkaribisha kwenye maisha mapya ya wokovu. Sherehe hiyo iliandaliwa na ndugu, jamaa na marafiki wa karibu wa
aliyekuwa ANTI ASU (SHOGA) mashuhuri katika jiji la DAR, ZANZIBAR, MWANZA NA ARUSHA. ilifanyikia nyumbani kwa Mch Dunstan na Mary Kanemba eneo la Kijitonyama Dar tarehe 15 September 2013. Saa 12 jioni
 Hakika Yesu anaweza!! ILIKUWA KAULI YA WENGI
WALIOHUDHURIA SHEREHE YA KUZALIWA KIROHO
KWA AMOSI.
AMOSI AKIONGEA


Mke wa Kiwelu kocha wa timu ya Simba na Taifa aliyenyosha mkono.
Ni miongoni mwa watu waliohudhuria sherehe ya kumpongeza AMOSI MWONGOFU MPYA aliyekuwa akijulikana kama ANTI ASU wakati ule akimtumikia shetani.
WATU WAKIPATA MADIKODIKO


KEKI ILIKUWEPO

"Tena, kufanya furaha na shangwe ilipasa, kwa kuwa huyu ndugu yako
alikuwa amekufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea, naye ameonekana"
(Luka 15: 32).
Ndivyo Mch Kanemba alivyokuwa akisema sababu ya kuwepo kwa
sherehe ya kumpongeza Amosi katika mahubiri yake.MCHUNGAJI MZAZI WA KIROHO WA AMOSI

SERVERS
Mama Abraham (mweshimiwa) mwenye furaha sana
naye alikuwepo katika sherehe ya kumpongeza AMOSI
kwa hatua yake ya mabadiliko chanya.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni