Jumatatu, 5 Agosti 2013

MUNGU MKUBWA BINTI ALIYEPOFUKA ZAIDI YA MIAKA 3 AFUMBULIWA MACHO NA KUANZA KUONA TENA

 Binti aliyepofuka kwa muda wa miaka mitatu ameombewa na kuanza kuona, Mkutano mkubwa wa injili ulioanyika Morogoro katika kanisa la askofu mkuu wa TAG B Mtokambali. mhubiri aliyekuwa anahubiri mkutano huo Pastor Lutengano wa Tabora ameiambia blog hii kuwa mkutano huo ulikuwa na nguvu za Mungu zisizo za kawaida, watu wamefunguliwa, wameponya na wengi kuokoka.
watu walio kata shauli

Pastor Lutengano akimfanyiamaombi binti aliyekuwa haoni baada ya kupofuka

umati wa watu
kwaya ikiimba

watu wakishangaa mjiza wa mtu aliyekuwa haoni sasa anaona

Picha ya pamojaKAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni