Jumatano, 2 Januari 2013

WASHINDI WALIOJISHINDIA SHINDANO LA KULIKE PAGE YA KINGDOM MEDIA WATANGAZWA

Shindano la  ku "like" page ya Kingdom Media lililotangazwa  kwa muda wa miezi miwili.limefika kikomo kwa kutangaza wahindi ambao wamejishindia kitita cha pesa za kimarekani yaani dolla Ila watakaoendelea ku like kutakuwa na zawadi kubwa zaidi Krismas ya mwaka huu 2013.Hii ndiyo video ya matangazo ya walioshinda. Washindi 1. Angela Mate wa Columbus, Ohio, USA, KAPATA $50.00; wa 2 ni Lazarary Thobias wa Mwanza kapata $20.00 tutamtumia sh 20,000, na wa 3 ni  Marwa Masana wa Ilala Dar pia tutamtumia sh 20,000. Angalia jinsi washindi walivyo patikana. na bado unaweza kushiriki kwa ku like page yao link hii hapa uweze kujishindia zawadi mwisho wa mwaka http://www.facebook.com/kingdommediatv
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni