Jumamosi, 1 Septemba 2012

TAMASHA LA KUBWA LA KUSIFU NA KUABUDU

 Vijana wa kanisa la GLORY TEMPLE TABATA wameamua kudhihirisha lile neno lisemalo VIJANA WANAYO NGUVU kwa kuandaa tamasha kubwa la kusifu na kuabudu kuwahi kutokea katika jiji la Dar es salaam tarehe 2/9/2012 jumapili hii


Waimbaji mahiri wa injili watakwepo kuhakikisha mbingu zinashuka na Bwana anaonekana katika maisha ya kila mmoja..waimbajiwatakaokuwepo kama vile;


THE GLORIOUS CELEBRATIONwatakuwepo mahali pale kwa ajili ya kumwinua Bwana Mungu anayeishi.waimbaji wengine watakaokuwepo ni

ZE GOD'Z CHOSEN RAPPERZ FAMILYkutoka kushoto ni sir mbezi anayefuata douglas pius[dp] watatu preacher gazuko na wamwisho ni dialo anton kutoka Ze God'z chosen rapperz jumapili hii watakuwepo pale GLORY TEMPLE TABATA pia RUNGU LA YESU kiongozi wa Ze God's chosen rapperz atakuwepo
pia kwaya mbali mbali zitakuwepo kumsifu Bwana kama vile sayuni kutoka eagt vingungunguti kwa mchungaji martin muhokole
bethel kwaya kutoka kiwalani kwa mchungaji elias mwakalukwa watakuwepo mahali pale
waimbaji binafsi kama vile Lusekelo samwel,Joshua nawengine wengi watakuwepo kumsifu BWANA. mawasiliano zaidi piga simu namba 0712964193 USIKOSE BARAKA HIZI
 
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni