Jumatano, 18 Julai 2012


SAMAHANINI SANA WASOMAJI WANGU KWA KUTOKUPATA UPDATE KWA WIKI MBILI SASA. NILIKUWA SAFARINI TABORA KWENYE HUDUMA NA NI VIJIJINI HIVYO INTARNET ILIKUWA SHIDA KUPATA. LAKINI SASA NIMERUDI NA TUTAENDA SAWA SAMAHANINI KWA USUMBUFU ULIOUPATA.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Maoni 1 :

Mawazo yako ni muhimu sana tafadhali tumia lugha nzuri na tutairusha na wengine waisome.