Alhamisi, 28 Juni 2012

PICHA ZA MKUTANO WA INJILI JANGWANI. UNAHUBIRIWA NA ASKOFU DR MOSES KULOLAMasanja Mkandamizaji akiimba


Watu wanao furika katika viwanja vya jangwani

Watumishi wa Mungu wakiwa  wanaangalia uimbaji
Solomoni Mkubwa akiimba

Solomoni Mkubwa Kutoka Kenya akiimba
Masanja mkandamizaji akimtukuza Mungu

Waimbaji wa nyimbo za injili Faraja Ntaboba na Bonny Mwaitege wakimpongeza masanja mkandamizaji kwa kumbeba

watu wakiwa wamenyoosha mikono juu kumrudia muumba wao na kutokana na technolojia kukua utaona watu wengi wanarekodi matukio kupitia simu zao

Mkutano huu unarushwa moja kwa moja na kituo cha radio cha wapo FM hapo unamwona Father Lupia akitangaza mkutano


waimbaji wakiimba


Umati wa watu


 
Askofu Dr Moses Kulola akiongea na waliokuja kukata shauri

 MKUTANO HUU UNAENDELEA TENA LEO KWENYE VIWANJA VYA JANGWANI KAMA UNA NAFASI FIKA UKUTANE NA MUNGU LA SIKILIZA WAPO FM UTASIKIA LIVE

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni