Ijumaa, 15 Juni 2012

MOTO WA INJILI UNAENDELEA KUWAKA JANGWANI SHETANI AKIONA CHA MTEMA KUNI

Mkutano mkubwa wa injili ambao ulianza Jumatano ya wiki hii unaendelea kwenye viwanja vya jangwani huku watu wengi wakiokoka na kufunguliwa kutoka katika vifungo vya shetani. umati wa watu wengi umekuwa ukifurika ili kwenda kupata habari njema za mwamume Yesu kristo zinazo hubiliwa  jangwani na Mwinjilisti wa kimataifa Johannes kutoka SOS Intarnestinal ya Sweden


watu mbalimbali wameendelewa kupokea miujiza yao huku mamia ya watu wakifunguliwa kutoka katika vifungo vya setani na kumkiri Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao
Mwanamke huyu sikio lake lilikuwa halisikii na akapona kabisa
Mdada huyu alikuwa na mapepo yaliyokuwa yanataka kumtupa motoni naye alifunguliwa
Watu viwanja ya jangwani

Mtumishi wa Mungu johannes akihubiri

Sherehe hizo za Ishara na miujiza zinaendelea leo njoo wewe walete na wengine walete wagonjwa na wenye shida mbalimbali mungu atawafungua. sherehe hizo zinatarajiwa kuisha Jumapili usitamani kukosa. vilevile mahubiri hayo yanrushwa moja kwa moja na redio wapo unaweza kusikiliza popte ulipo duniani

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Mawazo yako ni muhimu sana tafadhali tumia lugha nzuri na tutairusha na wengine waisome.