Ijumaa, 8 Juni 2012

MAANDALIZI YA MUKUTANO MKUBWA WA INJILI WA SHEREHE ZA ISHARA NA MIUJIZA ZINAENDELEA LEO KUNA MKESHA MKUBWA UTAKAOFANYIKA CCC.

Maadalizi ya mkutano mkubwa wa injili wa sherehe za miujiza na maajabu zinaendelea na leo kutafanyika mkesha mkubwa utakao jumuisha makanisa yote ya kipendekoste yaliyopo hapa Dar, mkesha huo utafanyika katika kanisa la TAG City Center upanga kuanzia saa 4:00 za usiku nia ya mkesha huo ni kuombea mkutano huo ambao unatarajiwa kuanza Tar 13-17 Juni katika viwanja vya Jangwani watu wote tunaombwa kuhudhulia na kujitoa ili kufanikisha mkutano huo ambao utahudumiwa na SOS Mision kwa kushirikiana na makanisa ya kipendekoste hapa Dar. na mhubiri ni Mwinj Johannes Amritzer ambaye ndiye kiongozi ya SOS.



KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FACEBOOK Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Mawazo yako ni muhimu sana tafadhali tumia lugha nzuri na tutairusha na wengine waisome.