Kwaya ya kwetu pazuri, Ambassadors of Christ SDA ya nchini Rwanda inatarajiwa kufanya ziara ya kihuduma hapa nchini, habari zilizoifikia blog hii zina sema kuwa wanakuja kuhudumu katika mkutano wa injili unaoandaliwa na kanisa la SDA hapa Dar, mkutano huo unaotarajiwa kufanyika katika viwanja vya Biafra utaanza tar 2 - 16 june, kila siku kuanzia 10:00 Jioni. kwaya hiyo ambayo imejizolea umaarufu mkubwa katika nchi za Afrika Mashriki katika miaka ya hivi karibuni, ikumbukwe kuwa mwezi uliopita walikuwa katika Nchi ya Kenya kwa ziara ya kihuduma katika nchi hiyo.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FACEBOOK Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Kwaya ya kwetu pazuri ya Rwanda |
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FACEBOOK Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Mawazo yako ni muhimu sana tafadhali tumia lugha nzuri na tutairusha na wengine waisome.