Jumatano, 1 Februari 2012

ALBAM MPYA YA GOSPEL YA DON MOEN (UNCHARTED TERRITORY)

Cover la albam mpya ya Don Moen iliyotoka mapema mwaka huu iliyosheheni nyimbo 13 pata maelekezo yake hapo chini
Learn more about Uncharted Territory


This album is different from anything I’ve ever done. First and most important, the proceeds from the album when you purchase it from Don Moen and Friends will support people around the world who desperately need hope, comfort and encouragement from God. By purchasing Uncharted Territory here, you will be part of training worship leaders in the middle east, far east, South America and other areas that want our team to teach them how to better usher God’s spirit into their congregations. And, Don Moen and Friends will pave the way for me to re-launch Don Moen and Friends radio for broadcast and internet access. Thanks you for being part of Don Moen and Friends.Second, I’ve never recorded a group of songs that ministered more to me through the highs and lows of the last few months. If you are going through tough times or know someone else who is, this collections of songs is for you. I know God has a blessing of hope for you in these songs as he did for me.01 – Uncharted Territory

02 – You Will Be My Song

03 – Somebody’s Praying For Me

04 – Great Things

05 – Your Love Never Fails

06 – Lord Have Mercy

07 – Ransomed

08 – Divine Exchange

09 – My Portion You Will Ever Be

10 – No Fear

11 – He Loves You

12 – Thank You Jesus

13 – BurnGet one song or the entire album!

pamoja na kutoa albamu mpya pia amefanya tamasha la nguvu la kusifu na kuuabudu huko India zifuatazo ni baadhi ya picha za tamasaha hilo huko Chenae India na bado yuko huko.

Huyu ni mwimbaji na rafiki wa don ambaye alikuwa nae katika ziara yake huko India anaitwa Lenny LeBlanc naye ni mzuri sana katika kuimba na kupiga kama anavyonekana.

Umati wa watu unaokadiliwa kufikia 12,000 waliokuwepo kwenye tamasha huko India

Stage ilivyokuwa imependeza

Don na Lenny pamoja na mass choir wakiwakilisha vilivyo katika tamasha katika mji wa Chenae India
Mathayo 6:33 Utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa.

Hakuna maoni: