Jumamosi, 7 Januari 2012

Dec 21, 2012 - End of the World? - Part 1 of 6Uongo huu wanautoa wapi Math 24:36 unasema , walakini kwa habari ya siku ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala mwana, ila baba peke yake.
Mathayo 6:33 Utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa.
Chapisha Maoni