Ukiacha wachekeshaji wengi ambao tumezoea kuwaona kwenye lunika wakichekesha tena baada vichekesho hivyo kueditiwa na kupambwa. Prezzor Fredy Chavala-The King ambaye Mungu kampa kipaji cha kuchekesha live huku ukipata mafundisho ya neno la Mungu, jana amekamilisha tamasha lake lililoandaliwa kwa miezi kadhaa. tamasha hilo ambalo lilipangiliwa vizuri kila aliyefika alipata burudani ya kutosha kutoka kwa vikundi mbalimbali vilivyotoa burudani kwa njia ya uimbaji wa live. ba wachekeshaji wengine ambao walikuwepo.
Mmoja wa watu niyefanya mahojiano alisema bado kuna kazi kubwa ya kutangaza matamasha kama haya maana ni kama ni vitu vigeni ila akampongeza the King Chavala kwa mpangilio wa matukio na aendelee hivyo hivyo maana siku zote mwanzo huwa ni mgumu. lakina kwa wale waliokuwepo watakuwa ni mashahidi kuwa kila kitu kilipangiliwa vizuri kucheka ilikuwa sana tu na wengi najua jana wameongeza siku za kuisha kwa kucheka tu . mc Samuel ambaye naye ni mchekeshaji, alipeleka tamasha vizuri, na mwisho kabisa alimalizia Mchungaji Lubala ambaye nae aliamua kuhubiri kwa kuchekesha kwa kweli ilikuwa nzuri. usitamani kukosa siku nyingine.
Tamasha hilo lilofanyika katika kanisa la CCC pia lilitoa fursa kwa watu wote waliofika kumpigia kura Christina shusho palepale, zoezi hilo liliendeshwa na bloggers, na mwitikio ulikuwa mzuri watu wengi walipiga kula.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Dada Jack akipiga kura
Sarah shila akipiga kura
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Mawazo yako ni muhimu sana tafadhali tumia lugha nzuri na tutairusha na wengine waisome.