moja ya mikakati iliyopo imeanzishwa kampeni inayoitwa VIVA SHUSHO, VIVA TANZANIA. Bloggers tuko mbele lakini nyuma yetu uko wewe unayesoma habari hii na tukifanya kwa pamoja naamini inawezekana maana kwa msaada wa mungu tutatenda makuu Zab 108:13a anza wewe kumpigia kura na waambie na rafiki zako wapige kura. naamini kazi yako haitakuwa bure.
Fuata link hii kupiga kura http://africagospelawards.com/nominate.html
na fuata maelekezo kama utakwama tuwasiliane tukusaidie.
hapa chini ni picha za kikao na Shusho kwaajili ya kampeni hii
Christina Shusho Martin na Victor |
Mch Mwita alikuwepo kwenye kikao hicho |
Hapa kikao kimepamba moto |
Samueli Sasali akitoa maelezo yakinifu jinsi mchakato utakavyokuwa |
Ratiba za matukio mengine tutakuwa tunajuzana ila kwa ufupi Tar 17 Juni Christina Shusho atakuwa Dar Live na tutakuwepo kumsupport na Tar 22 Juni kutakuwa na Special Event Shusho's Night hakutakuwa na kiingilio ila wote watakaohudhulia watatakiwa kupiga kura siku hiyo itafanyika wapi utajulishwa. mwishi wa kupiga kura ni tar 30 Juni na Tuzo zitatolewa Tar 7 july huko Uk.
VIVA SHUSHO VIVA TANZANIA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Mawazo yako ni muhimu sana tafadhali tumia lugha nzuri na tutairusha na wengine waisome.